Karibu ujiunge na familia ya hisabati Tanzania. Hii ni nafasi ya kwako wewe
mwanafunzi kujifunza hesabu kwa njia ya mtandao ambapo utaweza kusoma
topics mbali mbali pamoja
na kutatuliwa maswali yanayokutatiza bila gharama yoyote yaani buree.
Tutumie maswali ya hesabu yanayokusumbua kupitia barua pepe yetu ya kizazichahisabati@gmail.com na majibu pamoja na njia iliyotumika kupata majibu hayo yatakuwa kwenye blog kila siku za jumatatu, jumatano na ijumaa.
KARIBU SANA!